Dar salaam:                              Hivyo ndivyo hali ilivyo kwasasa katika eneo hilo la daraja la matumbi lililopo barabara ya mandela ubungo    kwelekea buguruni imetanganishwa hivyo kwa daraja hilo kukatika kwasababu ya maji yanaopita eneohilo la daraja kuzidi nguvu nguzo za daraja hilo na kulipelekuea kukatika.
 Watanzania tusiishie kulaume serekali kama wengi wetu hufanya kwasasa kinachoitajika na maombi kwa Mungu .
 
Top