mchujo wa models ulianza hivi huku  N0.1 2013 -2014 Tanzania top modelAakifanya yake

nyomi la models wakike kwa wakiume wakisubiri kwa hamu audition ianze

hapo sasaa models on pozi kwelekea kwa majaji

model haki akiki uwepo wake ili kupata namber ya ushiriki kutoka kwa codinetor Jay model

palikuwa patamu hapo moja ya meza ya models wakisubiri matokeo ya usahili
Majaji kazi walikua nayo..Vichwa vyaumaa

Mmoja  wa models walio tishaa sana na kusisimuwa majaji
]

Model wakiume nao hawakuwa nyuma kuonesha manjonjo yao

big man himself.......cameraman

Baada ya kazi nzito crew ili pata picha ya  pamoja ,respect kwa manyanda from A town event dar es saalam

Niler Benard N0.1 2013 -2014 Tanzania top model  with lovely pose na the Big boss him self
 e
Manager to manager-Production manager wa Ej Fashion akiwa na Jaji mkuu Wancy Machozi

Tukio hilo lilofnyika nyumbani lounge na kuteka hisia za wanamitindo na wapenda fashion wengi ,lilifikia tamati baada ya kupatikana models wenye sifa zilizo takiwa na majaji na kufanya kampuni kubwa ya Ej Fashion & Media ku sing in model kwaidadi ilio takiwa.
Shukurani sana toka kwa uogozi mzima wa Ej fashion ziende kwa washiriki wote takribani 240 waliohudhuria,wadhamini wetu Udaku magazine,Ab entertiment,na sehemu nzuri tulioweza kujidai na mandhari nzuri sipengine ni Nyumbani lounge.Bila kusahau majaji na codineters wote wakiongozwa na Martin Kadinda na James Pirano.
Shukurani za dhati pia  ziende kwa clemence Eliah {wandaz lab}

 
Top