Shindano kubwa la kusaka vipaji vya musiki Tanzania  maarufu kwa jina Epic Bongo Star Search,inayofanyika kila mwaka nchini inayo ongozwa na Madam Rita alisema hivi karibuni katika interview moja aliseama ya kuwa interview ya shabiki mkubwa wa timu ya Yanga  anaejulikana kwa jina  la Salehe  alio hojiwa na Millard ayo kuwa ndio kituko cha mwaka katika shindano hilo ,ni baada ya  shabiki huyo   jinsi alivyokufunguka ya moyoni mbele ya kipaza sauti cha Millard ayo...
 
Top