Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ambaye alizushiwa kusimamishwa kazi hivi naClouds Media Group karibuni.
B12 amesema yeye Diva na Adam Mchomvu  hawajasimamishwa kazi ila wapo likizo na watarudi kuendelea na kazi ya utangazaji pamoja na  Clouds Media Group. Akiongea na mdau mkubwa wa Clouds Fm Petter Isuti Mioyo Alisema huo ndo ukweli  "sijasimamishwa kazi ila nipo likizo".
 
Top