Mama wa Mitindo Nchini Tanzania Bi.Asia Idarous akifanya Interview na Kipindi Bora cha Urembo na Fashion"NIRVANA" Afrika Mashariki kinachorushwa EATV.
 Bi.Asia Idarous akiwa kwenye Red Capert tayari kwa Kupata Ukodak na Interview kutoka kwenye Media Mbalimbali.
 
Mama wa Mitindo Nchini Tanzania,Bi.Asia  akiwa kwenye Ukodak na Mwanamama Maria Sarungi Kwenye Usiku wa Lady In Red ya Kutimiza Miaka 10 ya Kufanya Fashion.
 Mama wa Mitindo Nchini Tanzania Bi.Asia akitoa pongezi za dhati kwa Wadau mbalimbali waliojitokeza Kufanikisha kazi hii ya Kutimiza miaka 10 ya Lady In Red Fashion Show Nchini Tanzania.

Mrembo akipita mbele ya Jukwaa wakati wa Ufunguzi wa Shughuli yote ya Usiku wa Miaka 10 ya
Lady In Red Nchini Tanzania.
Hawa ni Mafashionisti wachanga wakipita mbele ya Watazamaji kuonesha Mavazi yao.Round ya Kwana ilikuwa ni kuwapitisha Vijana wanaochipukia kwenye Uwanja wa Fashion chini ya Mama wa Urembo Nchini Tanzania Bi.Asia.


Mshsreheshaji akiendelea Kutawala Jukwaa.

Wachezaji wa Ngoma za Asili wa Wonne Star wakiburudisha Watazamaji waliofika kusherekea Miaka 10 ya Lady In Red Fashion.
 Hii ni Steji ya kazi Njima iliyofanyika hii leo Hapa Serena Hotel,Usiku wa Lady In Red

Warembo wakifuatilia Show ya Lady In Red Usiku wa Valentine wa Kuazimisha Miaka 10 ya Lady In Red Fashion Nchini Tanzania
Uncle Michuzi A.K.A Ankal akipata Ukodak
 Maria Sarungi akiwa Makini kufuatilia Show ya Lady In Red
 Moja ya Disigners Wakubwa Nchini akipata UKodak
Vyeti Vya Kutambua Mchango wa Ma-disigners Vimetolewa pia na Mama wa Mitindo Nchi Tanzania Bi.Asia
 Maria Sarungi akitoa cheti cha Kutambua Mchango wa Michuzi Media kwenye Kuhakikisha Lady In Red Fashion inasimama na kufanyika.
 Mama Wa Mitindo Nchi Tanzania ametoa Picha Mbili na kuzifanyia mnada wa hadhara kwenye Lady In Red Fashion shwo kwaajili ya Kuchangia Kituo cha Walioathirika kwa Madawa ya Kulevya Jijini Dsm.
Mambo ya Lady In Red hapa Serena Hotel Jijini Dsm.
 Mambo ya Mama wa Mitindo Nchi Tanzania Bi.Asia na alivyoazimisha miaka 10 ya Lady In Red Fashion Nchini Tanzania,Hawa ni sehemu ya Model walioonesha Kile alichokiandaa Bi.Asia kwa fashion Mwaka 2014.

 
Top