
Pozi za kufamtu yani pozi nzuri sana

apo anafanyiwa makeup huku anaoneka baada ya make up

akiwa jukwaani sasa....nishidar

je ni photogenic jibu hili hapa ....she is photogenic

Mwanamitindo anaye fanya poa sana afrika mashariki kwasasa anaejulikana kwa jina la Upendo Mlayi,ameonesha kuwa na ujio mkubwa sana kwakuwa na project nyingi,hukuakiwa ana afaakila idara ndani ya tasnia hiyo ya mitindo,hivyo kuwafunika wanamitindo maarufu akiwemo Joketi mwegelo...
more photo click hapa https://www.facebook.com/EjFashionMedia