Wancy nells maarufu kwa jina la the face ni mwanamitindo ambae ameshiriki na kuandaa modeling  na fashion event mbalimbali nchini mfano mkumbwa ni kanga zakale na lady in red nk,pia mwanamitindo huyo anafanya poa sana kwenye tasnia hiyo ya fashion na inasadikika kuwa ndie mwanamitindo wakiume mwenye mvuto zaidi tanzania.....
CHANZO: EJ FASHION & MEDIA
 
Top