anderson dickson karibu kabisa na zubeda{walimu wa models}

                                            all the way to location........for photoshoot
                               diwani akimalizia onekana mwishoni mwakundi la washiriki

















 Dar es salaam school of jornalism DSJ chuo kikubwa chenye kutoa wandishi wa habari wengi maarufu Fatuma nyangasa wa Itv ,Jeri Muro wa Itv na wengine wengi kimekuwa ,pia kimekuwa kinatoa wanamitindo wakubwa sasa Tanzania mfano Zubeda diva ambaye ameweza towa taji la Miss tanga.Shindano la mr &mrs Dsj wanamitindo ndipo huibukia nakushika chat sehemu mbalimbali za mashindano ya tasinia ya mitindo na hizo hapo juu ndio picha za washiriki wa shindano hili mwaka huu 2014 baada yakufanyiwa photoshoot na kampuni ya EJ FASHION & MEDIA....



 
Top