Warembo washiriki wa miss ubungo 2014


 

hakika wana n'gaa sana












picha hizo ulizo maliza kuzitazama ni picha za warembo washiriki wa miss ubungo wakiwa mazoezini wakiongozwa na mwalimu Andason Dickson mkali wa kufundisha cat walk akishirikiana wenzake.Washiriki hao wameonekana kuchangamka sana na kuleta ushindsni zaidi hata katika ngazi ya juu ya miss Tanzania mwaka huu,katayari kwa show ya fainal za warembo hao mwanzoni mwa mwezi ujao mwezi wa June.
PICHA ZOTE zimepigwa na camera man wa EJ fashion & media......get us 0659469287
 
Top