Leo Tarehe 29 may 204  ni  siku ya kuazimisha kuzalia kwa Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:
Nakuandika ujumbe huu:

"Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday With all my love"
Mtandao Huu unakutakia furaha na maisha marefu mzee wetu!!
 
Top