Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’ kunaswa.

Picha hiyo ambayo inasemekana imepigwa hivi karibuni ni ya kawaida lakini baadhi ya mashabiki wa Wema walidai kuwa anataka kutibua mambo kwa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.
Hivi karibuni, picha ya Wema akimshushia mabusu meneja wake, Martin Kadinda nayo ilizagaa mtandaoni, hivyo watu wengi kuamini kuwa msanii huyo anapenda kitendo hicho.
 
Top