models toka agence ya Ej fashion & media
on scene no1


miss tanga kulia na shoost on motion

As team models wakijadili kuhusu scene zao wanazo subiri kucheza
all waiting for world action

Camera man  maarufu Eli ulomi akitoa maneno  kwa models pembeni ni diwani{m.officer}
"location gan nzuri hapa na wewe sammy na rojer nawategemea sana kweye scene hii"

Director Octavian  from EJ fashion na models wakiwa wanashangaa amaizing scene mbele yao


model Jemes kutoka wanders lab akiwa na model wa Ej fashion wakitengeneza bonge moja ya scene
HIZI NI BAADHI YA PICHA YA KILICHO JIRI KWENYE MATAARISHO YA 
TANGAZO LA KIPINDI NDANI YA STARTV ..KINACHONEKANA PIA KUPITIA DSTV
STAY TUNE!!


 
Top