TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZIFUATAZO KWAKUWA ZIPO NJEE YA MAADILI ......18+

Wanasema kuwa hii imetokea katika jimbo la Benue ambapo wasichana wawili walikuwa wanapigana kwa ajili ya sugar daddy. Lakini chanzo kingine kinadai kuwa, siyo kweli kwamba wasichana hao walipigana kwa ajili ya mapenzi bali kwa sababu mmoja wao alimuita mama wa mwenzake kuwa ni kahaba. 
Kwa kuonesha kukerwa kwake na kauli hiyo, msichana mmoja aliamua kumkata mwenzake usoni kwa kutumia wembe mkali. Inaelezwa kuwa watu waliokuwa wanapita eneo la tukio na kushuhudia namna msichana huyo alivyokatwa na mwenzake, walimuamuru msichana mkataji kuvua nguo zake ili aadhibiwe kwa kosa lake. Lakini msichana huyo alipinga, ndipo wanaume hao wakamvua nguo kwa nguvu na kumuacha uchi wa mnyama.

Inasikitisha sana na huwezi kuamini. Ni kweli alichokifanya siyo kizuri kumkata mwenzie kwa wembe. Lakini wanaume wanatajwa kuwanyanyasa wanawake kwa wakati huu huku wengi wakihoji kuwa hii ni namna mpya ya adhabu? Kila msichana anapofanya makosa; wizi, kupigana au anapokosa adabu, badala ya kuwapeleka katika vyombo husika vya kisheria, huchukuliwa hatua mikononi. 

 



 
Top