Ishu hiyo ya aibu ilijiri kwenye Ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar ambapo kulikuwa na kinyang’anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Chuo cha Ustawi wa Jamii kilichopo Dar huku Recho akiwa mtumbuizaji.

Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, Recho alipanda kwa steji kupiga shoo akiwa 
ametinga kivazi hicho ambacho kilikuwa ni sawa na ‘kufuli’ hivyo kuibua gumzo kwenye shindano hilo ambalo aliyeibuka kidedea ni Junis Ndalima.

 

Baadhi ya wanachuo wa Ustawi walionesha kushangazwa

 
Top