
Endelea kushuka nazo picha za model toka kenya corazon kwamboka,ambae amekua akionekana kuigwa na kupendwa sana na model toka tanzania Agnes Masogange





Agenes Masogange ndani ya pozi kali lakuonyesha umbo

mh hapa ndio kabisa pozi lakumuiga corazon kwamboka model mwenzie toka nchini kenya