
Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania kuwa ni miongoni mwa vijana wanaochuana kwenye tuzo hizo tena akiwa vipengele viwili,ingawa bahati haikua njema kwa Diamond kwani hakufanikiwa kupata.

Diamond Platnumz alikuwa pia ni moja kati ya watumbuizaji wa ugawaji wa tuzo hizi,ambapo kwa namna alivyoingia kwenye jukwaa na Davido ilimfurahisha kila mtu aliyekuepo ukumbini na watu waliokuwa wakiangalia nyumbani kupitia DSTV
HIYO HAPO CHINI NI POST YAKE YAKWANZA KUHUSU HILO ON TWITER
- @diamondplatnumz good looking brother @MTVbaseAfrica
- @diamondplatnumz Chibuu Usikonde Mwana..Mpaka kufika hapo we mkali.There is always next time..Do it more and more..OneDayYes @MTVbaseAfrica
- @diamondplatnumz @MTVbaseAfrica iyo suti ni shidaa bob
- @diamondplatnumz not bad broo
- @diamondplatnumz @mtvbaseafrica your the best bro although you did not get any award to us Tanzanians you will olways be our hero
- @diamondplatnumz @MTVbaseAfrica looking great!
- @diamondplatnumz @MTVbaseAfrica nigga!! u DID IT! inabidi tuwaoneshe more nxt tym wataelewa tu. asee your SHOW na @iam_Davido was fantastic
- @diamondplatnumz so nice couple platnumz.good luck to you
- @diamondplatnumz @MTVbaseAfrica mpaka kufikia hapo wewe ni mkali kamanda ppppplutnum beeby hallllaaaa
- @diamondplatnumz @mtvbaseafrica pendeza xn! 2naamia #BET_AFRIMMA_KORA 2cfe moyo #MTV mwakan 2tabeba2
- @diamondplatnumz @MTVbaseAfrica shine bright like diamond
- @diamondplatnumz @mtvbaseafrica gud one kka suti nalaaa
- @diamondplatnumz TishaSanaJana. Hehehe We Mbayaaaaaaaaaaa. Then BIO yako Inahitaji Mabadiliko.Toa MTV #UweNaSikuNjema