Ni lile soko kubwa na maarufu lililopo karibu na uwanja wa kumbukumbu ya Karume na karibu na kiwanda cha bia TBL usiku wa kuamkia leo limewaka moto na kuteketeza sehemu kubwa ya soko hilo.Moto huo uliokua mkubwa kiasi cha gari la Zimamoto kushindwa kuuzima.


Chanzo cha moto kinadaiwa nia akina mamantilie wanaochemsha maharage na kuyaacha kwenye jiko ili kesho yake wakute yameiva,pia baadhi ya watu wanadai chanzo cha moto ni umeme.

 
Top