Posted by ej fashion real media
Kuna taarifa zilienea jana kupitia mitandao ya kijamii kuwa .
mchumba wa Diamond yupo hoi hospital baaada ya kuona picha za Diamond na
Wema.akichat na Sam wa
sammisago.com.Penny amekanusha taarifa hizo kuwa siyo za
kweli.na siku nzima alikuwa kazin kwake.
TOA MAONI YAKO by commenting!!