MSANII NAKAAYA SUMMARY AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME


Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagramamepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mazuriiiiiiiii






 
Top