Msanii wa muziki wa kizazi kipya Estelina maarufu kwa jina la Linah,aamua kuvunja ukimysa na kuwa muwazi kwakuanika pete ya uchumba mbele ya kadamunasi na kupigwa picha akionyesha pete hiyo,huku akidai pete hiyo amevalishwa na mwanaume mmoja mwenye mkwanja mrefu aliopo hapa hapa bongo na  ivikaribuni ata mweka wazi kwa jina maana ndoa yao inakaribia...
 
Top