Reporter maarufu wa television ya itv na radio one apigwa risasi na mchumba wake nakuwaishwa hospitali akiwa mahututi huku mama yake mzazi kufa hapo hapo  baada ya kupigwa risasi na mkwe wake{ mchumba wa mwanae Ufoo Saro} na mchumba huyo kujiua kwa kujipiga risasi baada ya kufanya tukio hilo la kinyama ambalo hadi sasa tunaingia mitamboni kisa cha tukio hilo hakija julikana......
Maombi yenu yanahitajika!!
 
Top