Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dayana Nyange ,ameonekana mara nyingi akiwa karibu na mwana mitindo maarufu jokate Mwegelo,amekuwa akidai yakuwa hivi karibuni ataingia kwenye tasnia ya fashion akiwa kama mwanamitindo,au mbunifu wa mavazi ,hivyo jokate ndio rolemodel wake ndio maana pia wapo karibu.....
 
Top