Producer mkubwa wa musiki wa tanzania maarufu kwajina la Lucci ,amezima gumzo la fununu za yeye kutembea{mausiano ya kimapenzi} na mwanamitindo maharufu Jokate mwegelo baada ya kumpigia goti nakumvisha pete ya uchumba mwana dada lisa aka lulu.Pia picha zauvishaji wa pete hiyo zimerushwa na kuonekana katika mtandao wakijamii wa twitter katika handle ya jokate na lucci....
 
Top