Picha nyingi za ukaribu kati ya mwanamuziki maarufu duniani Rihanna  na mwanasoka mashuhuri duniani anae chezea timu kubwa ya club ulimwenguni  Real madrid zimekuwa zikitawala kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii  huku kila mtu akijiuliza zina maanisha au kuashiria nini hasa ,ila mwisho wa siku kila mtu ana sema lake......
 
Top