Msani wa muziki wa kizazi kipya kutoka hapa nchini tanzania ,amekuwa mtu wa kushangawa na kuwapa watu wengi maswali baada ya muonekano wake kubadilika yani rangi ya mwili wake kubadilika sana kwasababu inayo daiwa kuwa ametumia vipodozi vya kujichibua maarufu kama mkorogo na huo ndio muone kano wake kwa sasa....
 
Top