Rapper maarufu wakike toka mamtoni Nick minaj  ametoka na muonekano mypa  wa nywele ambazo zimezua zogo kubwa duniani kote sasa baada ya yeye kuipa jina la AMERICAN SOLDERS eti kwakuwa  zinafanana na jezi ya wanasjeshi hao ,pia angependa iwe ndio hairstyle ya wanajeshi wa wakike wa marekani....
 
Top