Baada ya kuripotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamuakutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama..
Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko...
Watabiri wa mambo wanasubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli...
 
Top