picha toka  Teen Newz to ej fashion real media
Baadhi ya akina dada waliokuwa wakifurahia muziki mzuri wa asali ya Warembo,Diamond alipokuwa akitumbuiza usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Diamond kimapozi zaidi ya kimuziki kwa mashabiki wake.
Diamond akicheza na mashabiki wake mtindo wake…
Baadhi ya akina dada waliokuwa wakifurahia muziki mzuri wa asali ya Warembo,Diamond alipokuwa akitumbuiza usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Diamond kimapozi zaidi ya kimuziki kwa mashabiki wake.
Diamond akicheza na mashabiki wake mtindo wake mpya wa ngoloo ngoloo.
Diamond akiimba huku Mkurugenzi wa Skylight Entertaiment,Sebastian Ndege akionekana kufuria muziki muzuri.
 
Top