millard ayo akiwa karibu na sinta pamoja na zamaradi
millard ayo na mwasiti
millard ayo ndani ya pozi tamu na zamaradi
MILLARD AYO NA SNURA
Mtangazaji mwenye kipaji cha pekee na maarufu kwa jina la Millard Ayo aka mtu wangu wa nguvu ,amezoeleka kuchukua habari picha kwajili ya kuhabarisha jamii na kuonekana kuwa mtu mwenye pilika pilika nyingi,hivyo hayupo karibu sana na mastaa hasa wakike ,ila hawa wachache ambao ni Vannesa Mdee ,Zamaradi mtetema ,sinta,Snura na Mwasiti ndio mastaa wa kike walio karibu nae kwa kuwanao mara kwa mara akiwa ana nafasi kidogo ya kuburudika au kupumzika ,kwakupiga nao story na picha ,hivyo uonekana akiwanafuraha sana .....
Home
»
»Unlabelled
» PICHA ZA MILLARD AYO NA MASTAA WAKIKE WA BONGO WANAO TESANAE