Eti wapenda fashion tattoo hii imempendeza??
Staa wa bongo muigizaji,aliewahi kuwa miss tanzania mwaka 2006, kipenzi cha watu wengi mwana dada Wema Sepetu amechora tattoo mpya hivi karibuni baada ya kwenda kwenye ziara yake nchini china na aunt Ezekiel hivyo akachora tatoo hivyo yakichina ilio gharimu hela nyingi sana kwakuwa inamaana kubwa kwake......
 
Top