p squre
                                                    jackline walper
Msanii maarufu muigizaji tanzania maarufu  kwa jina la Jackline walper afunguka kuhusu ujio wa wasanii wa muziku wakubwa duniani Psqure  tanzania kwenye show ilio andaliwa na kituo kikubwa cha tv EATV  ambayo imetangazwa na kituo hicho kuwa itafanyika tarehe 23.11.2013 yakuwa atasitisha    
kazi zake zote ikiwemo kwenda kushoot night scene ya movie yake mpya kwakuwa yeye anahisi ndie shabiki mkubwa sana wa psgure akiwa kama  katika mastaa,.
 
Top