diamond na mama yake mzazi
  
diamond na mpenzi wake penny.. Msanii wa musiki wa bongo flava maarufu Diamond plutinumz siku ya leo ya tarehe mbili october ana sherehekea na kuazimisha  siku ya kuzaliwa na na familia yake ,marafiki na maelfu ya mashabiki kupitia sehem mbali mbali ikiwemo mitandao ya kijamii mbalimbali hakika nisiku nzuri kwake na simashabiki wake ulimwenguni kote.......
 
Top