NEY WA MITEGO NA DIAMOND WAMVULIA KOFIA HUYU DOGO ilikuwa ni juzi kwenye show yangu TCC chang'ombe.ambapo sikuwa na mwanangu,Nay true boy so ilinibidi niombe mtu mmoja kati ya mamia ya mashabiki waliokuwepo.. amwakilishe True boy kwenye music gani ndipo dogo akajitokeza ...na siku hiyo ndiyo nimekubali kweli vipaji vya kweli vinatoka huku kw…