
IMEVUJA! Kumbe ile safari ya nchini China ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ‘Madam’ lengo lilikuwa kubadili ngozi ya mwili wake katika mwonekano mpya ambayo ilishaharibika kwa mkorogo, Amani limetonywa. Wema Sepetu ‘Madam’. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, staa huyo aliingia nchini humo na mdogo…