
PENNY huyo akishow love na Eli ulomi kata keki tuleee!! hii ndio picha ya keki iliopigwa kwambaali Eli ulomi ,Vannesa Mdee na Bob Jounior {kazini} Moja wa cameraman wanofanya poa sana nchini ,na mwanzilishi wa EJ Fashion Model agence anaejulikana kwa jina Eli Ulomi,anasherekea siku yake yakuzaliwa …