
hivi yote haya ni kwajili ya umaarufu tu au??? wap shemeji yetu JUx,,,, …
hivi yote haya ni kwajili ya umaarufu tu au??? wap shemeji yetu JUx,,,, …
Ilikuwa ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam. Party hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu, kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa mweny…
Mcheza filamu za kibongo Wema Sepetu ametuma picha ya mpenzi wake wa zaman mwanamuziki Diamond Platnamu kwenye akaunti.yake ya instagram na kuandiki“ i jus happen to love dis picture“baada ya kuweka picha hiyo mashabiki wameanza kumsifia uku wakimponda mpenzi Penny ambae anaaminika ndio mpenzi wa D…
view habari kamili kwa kuclick link hiii http://www.bongoclantz.com/…
R.I.P Nelson Mandela Raisi Obama akiongelea kifo cha Nelson Mandela Raisi Jakob Zuma akiongelea kifo cha NelsonMandela…
Hizo ni bahazi tu ya picha raisi wa Marekani Mh Barack Obama ameanza kusherekea na familia yakee mzimu wa sikuku za christmass na mwaka mpya PICHA zaidi BONYEZA hapa http://ejfashionrealmedia.blogspot.com/ …
ACHANA na mabifu yaliyotangulia, hili ni jipya kabisaa! Msanii wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ameingia kwenye bifu zito na Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na kudai staa huyo wa Wimbo wa Number One ni mzinzi ‘fuska’, Amani lina mkanda mzima. Bila kumung’unya maneno, mapema wiki h…
Mwanamitindo na mwanamuziki maarufu ajulikanae kwa jina la jokate mwegelo amepost picha h…
Katika happy birthday ya muigizaji mmoja wa bongo keki imetengenezwa mfano wa uumee wa mwanaumee... ivi tunapo elekea ni wapi ??…
Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan aka Tunda Man, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanamiliki silaha za moto (bastola), kitu kilichofahamika na kuandikwa na baadhi ya vyombo vya habari mapema mwaka huu. Tunda amesema kwa sasa hamiliki tena bastola, sababu aliamua kuisalimis…