BREAKING NEWS; UFOO SARO WA ITV NA MAMA YAKE WAPIGWA RISASI LEOBREAKING NEWS; UFOO SARO WA ITV NA MAMA YAKE WAPIGWA RISASI LEO

Reporter maarufu wa television ya itv na radio one apigwa risasi na mchumba wake nakuwaishwa hospitali akiwa mahututi huku mama yake mzazi kufa hapo hapo  baada ya kupigwa risasi na mkwe wake{ mchumba wa mwanae Ufoo Saro} na mchumba huyo kujiua kwa kujipiga risasi baada ya kufanya tukio hilo la kin…

Read more »
12Oct2013

PENNY AZIMIA NIKAULI ILIO KAUSWHA  NA YEYE MWENYEWE YOTE KUHUSU DIAMOND NA WEMAPENNY AZIMIA NIKAULI ILIO KAUSWHA NA YEYE MWENYEWE YOTE KUHUSU DIAMOND NA WEMA

Posted by ej fashion real media Kuna taarifa zilienea jana kupitia mitandao ya kijamii kuwa .mchumba wa Diamond yupo hoi hospital baaada ya kuona picha za Diamond naWema.akichat na Sam wa sammisago.com.Penny amekanusha taarifa hizo kuwa siyo za kweli.na siku nzima alikuwa kazin kwake. TOA MAONI YAK…

Read more »
11Oct2013

WATOTO WA P.DIDDY WATIAFORA KWENYE MAONYESHO WALIO ONYESHA KWENYE MAVAZI YA KIDS FASHION WEEKWATOTO WA P.DIDDY WATIAFORA KWENYE MAONYESHO WALIO ONYESHA KWENYE MAVAZI YA KIDS FASHION WEEK

WATOTO WA P.DIDDY WAONYESHA MAONYESHO YA MAVAZI YA KIDS FASHION WEEK Posted by EJFASHION REAL MEDIA BLOG P Did P Did wake Kim Porter.… P Didd P Diddwake Kim Porter. didd …

Read more »
10Oct2013

TAZAMA TATTOO MPYA YA LULU MICHAEL NA MAANA YAKE TAZAMA TATTOO MPYA YA LULU MICHAEL NA MAANA YAKE

  Tarehe 9/10 kabla hajalala mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya kifua karibu na bega ikiwa ni picha aliyoipost na ikaambatana na maneno yafuatayo. “Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!…

Read more »
10Oct2013

PICHA: BREAKING NEWS - DIAMOND NA WEMA LIVE PAMOJA JUZI JUZIPICHA: BREAKING NEWS - DIAMOND NA WEMA LIVE PAMOJA JUZI JUZI

PICHA: BREAKING NEWS - DIAMOND NA WEMA LIVE PAMOJA JUZI JUZI Posted by ej fashion media …

Read more »
09Oct2013

MSANII NAKAYA SUMARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUMEMSANII NAKAYA SUMARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

MSANII NAKAAYA SUMMARY AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME Jumamosi iliyopita ya tarehe 5 msanii wa bongo fleva NAKAAYA SUMMARY mungu alimjalia kujifungua salama na kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la KAI SAMUEL. Leo kupitia account yake ya Instagramamepost picha hii ya mtoto na kumuandikia maneno mazuriii…

Read more »
09Oct2013

Hizi ni faida za sex kiyansi jamaniiii....!!Hizi ni faida za sex kiyansi jamaniiii....!!

      KISAYANSI SABABU NA FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI HIZI HAPA   (hapa nazungumzia yale salama na yalio halalishwa kwa ndoa na si vinginevyo jamani,dont quote me wrongly)  Scientists show that sex is extremely beneficial for our health, while the lack of an active sex life might have negative effects…

Read more »
09Oct2013

PICHA:JOSE CHAMELEON  AKI PERFORM NA MPENZI WAKE  KWA MARA YA KWANZAPICHA:JOSE CHAMELEON AKI PERFORM NA MPENZI WAKE KWA MARA YA KWANZA

Msanii wakimataifa wa muziki toka nchini Uganda maarufu kwa jina la Jose Chameleone ameonekana katika hisia kali sana akiwa anaimba katika show moja akiwa nchini humo Uganda baada ya kucheza na mwana dada moja mrembo ,ambaye amekua akionekana nae sehemu mbalimbali ,nakudaiwa ni mpenzi wake wamuda m…

Read more »
08Oct2013

LINAH AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA BOSS MOJA HAPA BONGOLINAH AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA BOSS MOJA HAPA BONGO

                                                                                                             Msanii wa muziki wa kizazi kipya Estelina maarufu kwa jina la Linah,aamua kuvunja ukimysa na kuwa muwazi kwakuanika pete ya uchumba mbele ya kadamunasi na kupigwa picha akionyesha pete hiyo,…

Read more »
08Oct2013

KIBUTI CHA TID NOMA SANA, AFUNGUKA SABABU NA AMEKIPOKEAJE KIBUTI HICHOKIBUTI CHA TID NOMA SANA, AFUNGUKA SABABU NA AMEKIPOKEAJE KIBUTI HICHO

Leo asubuhi nimekutana na hii Massage ya Mwanamuziki wa Bongo Flava TID kwenye Ukurasa wake wa Facebook ikisema "I am very sad to tell u guys that ..........am single again my girl just left me" Akimanisha kuwa ninasikitika kuwaambia kuwa mimi ni single tena msichana wangu ameniacha...Watu mbali mb…

Read more »
07Oct2013

JE NI KWELI CLOUDS TV WANA COPY VIPINDI KUTOKA EATV? UTAMU UKO HAPA!!JE NI KWELI CLOUDS TV WANA COPY VIPINDI KUTOKA EATV? UTAMU UKO HAPA!!

Ubunifu ni kitu pekee kinachoweza kuitofautisha brand moja hadi nyingine/kampuni nyingine ambazo/yo inatoa huduma zinazolingana/fanana. Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media Group katika ubunifu na mambo mengine linapokuja suala la burudani hapa Tanzania, ila kwa hili niseme Cloud…

Read more »
06Oct2013

AY AFANYA TUKIO KATI YA MATUKIO MATATU MAKUBWA  KWENYE FIESTA  MOSHIAY AFANYA TUKIO KATI YA MATUKIO MATATU MAKUBWA KWENYE FIESTA MOSHI

                                             mchaga akimkabili shilole                                                  shilole akipagawa na masawe[mchaga]                                                   J Martin                                                     shaniki akionyesha saa zawadi to…

Read more »
06Oct2013
 
Top