
Ej fashion & media ni moja ya kampuni kubwa inayo husika na models management na promotion,imendelea kupata jina kwa kufanya kufuru ya kufanya projects,nakujiuza {kuonekana}sehemu mbalimbali na models wake. CEO wa kampuni hiyo ndugu ULOMI ameahidi kazi zao kuendelea zaidi na wata anza zihara yao y…