Katika tamasha moja nchini Nigeria style myaa ya kucheza muziki inatoitwa sexstyles dance,ilionyeshwa na mwanamuziki na mchezaji wake jukwaan ,,,sijui na tanzania tutaigaa hii baada ya kuiga alingo,skelewuu styles? …
NEY WA MITEGO NA DIAMOND WAMVULIA KOFIA HUYU DOGO
ilikuwa ni juzi kwenye show yangu TCC chang'ombe.ambapo sikuwa na mwanangu,Nay true boy so ilinibidi niombe mtu mmoja kati ya mamia ya mashabiki waliokuwepo.. amwakilishe True boy kwenye music gani ndipo dogo akajitokeza ...na siku hiyo ndiyo nimekubali kweli vipaji vya kweli vinatoka huku kw…
HICHI NDICHO MSANII MAARUFU DUNIAN KELLY ROWLAND ALICHO KIFANYA AKIWA UWANJA WA FISI,DAR
Msanii maarufu wa Marekani Kelly Rowland, ametinga uwanja wa fisi Manzese Dar es salaam jana jioni baada ya kusikia sifa za maeneo hayo ya Uswahilini tangu akiwa USA. Msanii huyo ametua nchini kwa tiketi ya MTV kupitia taasisi yake inayojishughulisha na kampeni za kupambana na Ukwimwi (Staying Aliv…
TAZAMA PICHA {20]WANAMITINDO WA IFANYA SWAHILI FASHION WEEK HABARI YA MJINI
![TAZAMA PICHA {20]WANAMITINDO WA IFANYA SWAHILI FASHION WEEK HABARI YA MJINI](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRQ-LIUhdtB7yn7BnOrXzjL5NbuRlJugktyVScwBV-z81aX906p60hzoFnA4I5DdDclh_tuTVsYMCWEGEt90R7Ke3yz6TqruEc84Bx0UyI8UtjCk7kal-s6GGtl6NV5RtTsKr_Uq_gruL4/s140-p/5.jpg)
SASA HII COMING EVENT SIO YA WEWE KUKOSA!! …
HATIMAE HUYU NDIO MSHINDI WA TUSKER PROJECT FAME 6 MWAKA 2013

Huyu ndio mshindi wa TUSKER PROJECT FAME 6 kwa mwaka huu 2013 anaitwa HOPE kutoka BURUNDI.…
HIVI NDIVYO KANYE WEST ALIVYOJIBU MAPIGO YA RAISI OBAMA JUU YAKE

Rapper Kanye West amemtolea Uvivu Rais Barack Obama wa Marekani kwa kumzuia kutaja jina lake popote na wala la Mpenzi wake Kim Kardashian...Hii inakuja kama ni kujibu mapigo baada ya raisi wa marekani kumuita Kanye kuwa ni "Jack Ass" yaani mtu mjinga ama Chizi hivi ...Mwaka 2009 kwa mara ya kwanza …