UNAAMBIWA KWA PICHA HIZI LAZIMA DAVIDO ATARUDI KWA X-GIRLFRIEND WAKEUNAAMBIWA KWA PICHA HIZI LAZIMA DAVIDO ATARUDI KWA X-GIRLFRIEND WAKE

Unaambiwa kwamba mwanamuziki kutoka Nigeria huenda akarudi tena kwa mpenzi wake wa zamani baada ya kuona picha za mrembo huyo ambaye sasa anaonekana kuwa mrembo zaidi ya kipindi yuko nae penzini.   …

Read more »
14Jun2014

TAZAMA VIDEO YA WEMA SEPETU AKIJIACHIA NA PETIMANI HUKU AKIIMBAA WIMBO WA DIMPOZ ,NI ShidaarTAZAMA VIDEO YA WEMA SEPETU AKIJIACHIA NA PETIMANI HUKU AKIIMBAA WIMBO WA DIMPOZ ,NI Shidaar

Madame mwenye TEAM kubwa zaidi ya MAFANZI aka TEAMWEMA(Unaweza kuwaita Wapambe, Mashabiki, nk), haipiti siku bila kuokea kwenye magazeti ya UDAKU na blogu kama hii (Kwamazuzi au mabaya), Huyu sio mwingine ni MPENDWA wetu WEMA SEPETU...hahahaaha!! Kupitia  Ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi Vid…

Read more »
12Jun2014

SOKO LA KARUME LATEKETEA NA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEOSOKO LA KARUME LATEKETEA NA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO

Read more »
12Jun2014

AGNES MASOGANGE ACHAFUA HALI YA HEWA INSTA HUKU DIAMOND KUHUSISHWA KWENYE HILI...TAZAMAAGNES MASOGANGE ACHAFUA HALI YA HEWA INSTA HUKU DIAMOND KUHUSISHWA KWENYE HILI...TAZAMA

kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM. Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE  kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa bong…

Read more »
11Jun2014

 RATIBA YA MECHI ZOTE ZA KOMBE LA DUNIA HII HAPA... RATIBA YA MECHI ZOTE ZA KOMBE LA DUNIA HII HAPA...

Read more »
10Jun2014

HII NDIO MAHABA NIUWE....BWANA WA SHILOLE AJICHORA TATTOO  KWAJILI YA SHILOLE ITAZAME HAPAHII NDIO MAHABA NIUWE....BWANA WA SHILOLE AJICHORA TATTOO KWAJILI YA SHILOLE ITAZAME HAPA

hahaha mahaba niuweee! baadaya ya picha hiyo maneno hayo hapo chini yaliandikwa na shilolee..Instagram …

Read more »
10Jun2014

DAH KUMBE MCHINA MUDA MWINGINE ANASINGIZIWA TAZAMA HAPA LIVE MCHEZO MZIMA WA BAADHI YA DADA ZETUDAH KUMBE MCHINA MUDA MWINGINE ANASINGIZIWA TAZAMA HAPA LIVE MCHEZO MZIMA WA BAADHI YA DADA ZETU

                        KUMBE NI MAMBO YA FASHION NA SIO MADAWA YA MCHINA …

Read more »
08Jun2014

PICHA 5 :MASOGANGE AKIWA NA RIHANNA HAIR STYLE .....NI KISANGAAPICHA 5 :MASOGANGE AKIWA NA RIHANNA HAIR STYLE .....NI KISANGAA

Read more »
08Jun2014

TAZAMA HAPA VIDEO YA PERFORMANCE YA DIAMOND NA DAVIDO KWENYE MTV MAMA FINALS 2014TAZAMA HAPA VIDEO YA PERFORMANCE YA DIAMOND NA DAVIDO KWENYE MTV MAMA FINALS 2014

                                                              HII NI RECORD KWETU WATANZANIA NA DUNIA NZIMA.. …

Read more »
08Jun2014

NENO LA KWANZA MTANDAONI TOKA KWA DIAMOND BAADA YA KUTOKUFANIKIWA KUCHUKUWA TUZO ZA MTV MAMANENO LA KWANZA MTANDAONI TOKA KWA DIAMOND BAADA YA KUTOKUFANIKIWA KUCHUKUWA TUZO ZA MTV MAMA

Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07 yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award ‘MAMA’. Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana kutoka nyumbani Tanzania kuwa ni miongoni …

Read more »
08Jun2014

Shamsa Ford aongela picha kuhusu yeye na mbunge kula utamu kititandani zilizopo mtandaoniShamsa Ford aongela picha kuhusu yeye na mbunge kula utamu kititandani zilizopo mtandaoni

Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu jana,. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa sio halisi ni za kutengene…

Read more »
08Jun2014
 
Top