Latest News

LULU ASHIKA NAMBER 1 KATIKA WAIGIZAJI WAKIKE WAREMBO AFRICA ,IJUE TOP 10 LULU ASHIKA NAMBER 1 KATIKA WAIGIZAJI WAKIKE WAREMBO AFRICA ,IJUE TOP 10

TOP 10 MOST BEAUTIFUL AND SEXIEST AFRICAN ACTRESSES IN 2013. They are dominating the African film industry, they are super famous in their respective movie industries and always in the media. They are talented, beautiful and sexy and if not all most of them are comfortable in their natural African …

Read more »
02Nov2013

PSQURE WA TOBOA SIRI JUU YA  UJIO WAO TANZANIA HUKO LUSAKAPSQURE WA TOBOA SIRI JUU YA UJIO WAO TANZANIA HUKO LUSAKA

Wasanii wa kubwa Afrika na hata dunia nzima Peter na Paul kwa pamoja wanajulikana kwa jina la Psqure,wanaotamba duniani kote na nyimbo mbalimbali zikiwemo alingo,pesonality,do me na nyinginezo,hivi karibuni baada ya kutangazwa onyesho lao kufanyika Tanzania November 23,2013 lililo andaliwa na  EATV…

Read more »
02Nov2013

TAZAMA VIDEO YA KITUKO CHA MWAKA NDANI YA  EPIQ BONGO STARSEARCHTAZAMA VIDEO YA KITUKO CHA MWAKA NDANI YA EPIQ BONGO STARSEARCH

Shindano kubwa la kusaka vipaji vya musiki Tanzania  maarufu kwa jina Epic Bongo Star Search,inayofanyika kila mwaka nchini inayo ongozwa na Madam Rita alisema hivi karibuni katika interview moja aliseama ya kuwa interview ya shabiki mkubwa wa timu ya Yanga  anaejulikana kwa jina  la Salehe  alio h…

Read more »
01Nov2013

SOMA ALICHOKIANDIKA DIAMOND BAADA YA KWENDA KWENYE MSIBA WA BABA YAKE WEMASOMA ALICHOKIANDIKA DIAMOND BAADA YA KWENDA KWENYE MSIBA WA BABA YAKE WEMA

Msanii mkubwa Afrika mashariki Nasib maarufu kwa jina la DIAMOND PLUTINUMZ aliamua kuwa chana  wanafki wanao andika vibaya kwenye mitandao na magazetini baada ya yeye kuhuzuria msiba wa baba wa mpenzi wake wazamani  wema sepetu na kutuma picha ya yeye akiwepo msibani na maneno yanayo wa chana  wana…

Read more »
31Oct2013

BOB JUNIOR AKIRI  KUWA MUZIKI NDIO CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA NDOA YBOB JUNIOR AKIRI KUWA MUZIKI NDIO CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA NDOA Y

   Msanii maarufu wa miondoko ya Bongo fleva Bob Juniour maarufu kama "rais wa masharobaro" akiri kuwa mziki umechangia kwa asilimia kubwa kuvunjika kwa ndoa yake.Rais huyo wa Masharobaro ambae ni mmiliki pia ni producer wa lebo ya Sharobaro Records inayopatikana Magomeni Mapipa,alitamka hayo katik…

Read more »
30Oct2013

PICHA  ZA MSANII PENDO AKISAGANA  ZA VUJA , NI KUFURU!PICHA ZA MSANII PENDO AKISAGANA ZA VUJA , NI KUFURU!

Msanii maarufu nchini Kenya Pendo apiga na kuvujisha picha zake akisagana na mwenzie katika mtandao wa Ghafla kwa sababu ya hela ,ni aibuu,,,…

Read more »
30Oct2013

TAZAMA HII KALI YA MWAKA MWANAKE MOJA KUMYONYESHA MBUZI  TAZAMA HII KALI YA MWAKA MWANAKE MOJA KUMYONYESHA MBUZI

Duh ni shidah!! Vituko vya wanawake duniani, mwanamke akitumia matiti yake kumpa maziwa mbuzi  .Mwanamke huyo alieye daiwa  niraiya wa sudani ameshangaza dunia kwa tukio hilo alio mfamya ambapo sababu alioyotoa nikwamba anampenda sana mbuzi kuyo amuitae jina la vyong lenye maana ya mtoto  ,pia sabab…

Read more »
28Oct2013

UWOYA AJIANIKA JUU YA MKOKO{gari} LAKE JIPYA UWOYA AJIANIKA JUU YA MKOKO{gari} LAKE JIPYA

Posted by ej fashion real media STAA kunako tasnia ya filamu,Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover. Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby. Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo…

Read more »
28Oct2013

TAZAMA PICHA ZAIDI YA 20 ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA PART 1TAZAMA PICHA ZAIDI YA 20 ZA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA PART 1

hii ndio part one ya fiesta 2013 ilivyo kuwa ngoja tusuburi part 2…

Read more »
27Oct2013
 
Top