Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali wa ndoa kwa ndugu yetu….!Sentensi niliyoiandika hapo juu inaweza kuwa rahisi na ya kweli moja kwa moja kwa kuangalia picha za harusi zilizowekwa na muigizaji wa kike Elizabeth Michael aka Lulu kwenye Instagram akiwa ametupia shela n…