DIVA WA CLOUDS FM AJIANIKA KABISA KATIKA ,WAUWE VIDEO YA CHEGE NA TEMBA JIONEE Mwanadada, Mrembo, Muimbaji,Mtangazaji wa Clouds FM, DIVA THE BAWSE kwa mara ya kwanza ataonekana kwenye VIDEO ya nyimbo ya Waue ilioimbwa na Chege na Temba chini ya Mkubwa Fella. Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanadada huyo aliweka picha akiwa yupo LOKESHENI waki SHUT video hiyo... Diva alia…