
Michuano ya kombe la dunia imeendelea kuonyesha ukubwa wake kwa kuteka kila habari kuu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, mabilioni ya watu duniani kote wakiwemo mastaa wakubwa wa kitaifa na kimataifa wanafuatilia michuano hii ambayo ndio mikubwa kabisa katika soka duniani. …