Msani huyo mkubwa ajulikanae kwa jina la Davido anaetamba na ngoma yake kibao ikiwemo skeleuwu,aonekana akiwa jogoo amewika baada ya kupiga picha za mitego na mrembo kutoka kenya vve beiby....wakatupia wenywe mtandaoni…
MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE {2013] KUTOKA
![MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE {2013] KUTOKA](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/t1/1551658_650488518323446_1079459867_n.jpg)
Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwnanyamala dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae limaliza kidato cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo…
LULU MICHAEL APEWA DILI LAKUFURU NA KAMPUNI YA ZUKU

Msanii Elizabeth Michael Michael maarufu kwa jina la LULU apost picha akiwa ameshika cheti cha kuwa balozi wa kampuni kubwa ya digital inayofamika hasa kwa kuwa navingamuzi vya digital..... lulu sasa ni balozi wa zuku products hasa vingamuzi vya zuku na zuku tv .…
MATOKEO YA KIDATO CHA 4 {2013} YATOKA ,NIKISANGA TAZAMA HAPA

Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 na kiwango cha ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012. Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu. Wanafunzi 74,324 sawa na …
ZAMARADI MTETEMA NA JOTI NDANI YA POZI ZA KUKUACHA MDOMO WAZI
Hapo JOTI akionesha hairstyle yake ya sikuhizi.. Vinywele juu... pamoja na kwamba nimemzoea lakini saa nyingine huwa nashindwa kujizuia kucheka... Hahaa haaa.. pozi la picha lilianza hivi.. Mara akanitolea ulimi nje Ghafla akabadilisha hali ikawa kama hivyo Mara hee... Ukatuni unaendelea... …
INSTAGRAM KIMENUKA KWA MASOGANGE NA WOLPER WAPEWA MAKAVU LIVE

Mtandao wa Instagram umekuwa ndio uwanja wa kuchambana hasa kwa hawa mastaa embu jionee huyo alivyowapa live live Agness Masogange na Jackline Wolper …
PICHA ZA MH MENGI NA MKEWE KEILIN NDANI YA MABAHA HUKO NCHINI MAREKANI

loading.........network inasumbua endelea kutembelea blog hii picha kibao zinakuja…
DIAMOND ATIKISA HUKO SOUTH AFRIKA TAZMA PICHA HAPA

Diamond & Yvonne Chakachaka D'banj & Diamond Diamond with VJ Adam …
HAMISA HAJAWAHI TIWA!! ,NIMANENO YALIOPOSTIWA NA MCHUMBA WA PREZO MTANDAONI
icho ndicho kilichoandakwa humo huyo apo ndio chagabeibe na mpenziwe prezo …
PENNY ADAIWA KUTUMIA BANGI ILI KUJIEPUSHA NA MSONGO WA MAWAZO YA MAPENZI

penny na rafiki yake batani na sigara mkononi penny mtangazaji wa dtv na alikuwa mchumba wa diamond plutinums …