Mwanamuziki wa kizazikupya au bongo flava shilole ameonekana katika hali ya kimahaba na kijana mmoja nyakati za usiku katika maeneo ya viwanja vya tamasha kubwa la fiesta hivi juzi tu.... …
Hatimae taji la miss world 2013 la valiwa na miss philippines anaejulikana kwa jina la Megan young akifwatiwa na mshindi wa pili kutoka france huku wa Africa tukiambulia kuibuka nafasi ya tatu tuki wakilishwa na miss Ghana , picha zaidi baada ya muda mfupi.....…
Atimaye mwanadada mrembo miss kutoka tanzania Brigitte Alfred amekuwa mshindi wa tatu katika taji la Beauty with purpose la MISS WORLD 2013 ambapo fainal zake hapo kesho tarehe 28.9.2013 nchini Indondonesia.shindano hilo linakwenda sambaba na mashindano mengine ma nne kabla ya kumpata miss world …
Mwigizaji maarufu nchini na nje ya nje ajulikanae kwa jina la Jackline Wolper ameonekana katika muonekano mpya akiwa amefaa vazi kakitenge ambapo sio kawaida ya msanii huyo na wasanii wengine ,ila kwaujumla nivazi alipendalosana sasa kulivaa mara kwa mara kwakuwa linampendeza na nila heshima kwa k…
Nancy sumari akiwa ndani ya gauni lilio buniwa na KIKI's ,hivyo amekua akilitangaza gauni hilo kwa kulivaa,pia ataendelea kutangaza mavazi ya kikis mbalimbali akiwa kama model na miss tanzania miaka ilio piata, hivyo huwo ndio muonekano mpya na KIKI's .....…
Wasanii wa wili hawa Irene woya maarufu sana katika tasnia ya filamu ameonekana mara kwa mara akiwa katika mikao ya kimahaba hasa batani akiwa na msanii huu ajulikanae kwa jina la Manaiki Sanga hivyo sasa watu wahasubiri utambulisho hivyo kumwita Manaiki SHEMEJiiiiiiii........…
Mwana mitindo maharufu duniani Amber Rose ametoa kali baada ya kufika ukweni yani nyumbani kwa ndugu za mumewe Wiz Halfa ,na kuwanza kukatika uku akitingisha makalioyake zaidi ambapo kitendo hicho kilifurahisha na kuwashangaza watu wengi duniani kufanywa na yeye....…
Baada ya star mwigizaji,meneja wa unendless fame company na alie kuwa miss tanzania 2006, ametupia picha hii katika mtandao wa instogram,ambapo watu wengi kutoa maneno juu ya picha hii ya kuwa amepungua sana . Star huyo amejibu comment hizo akisema kuwa anataka kurudia mwili wake wazamani wa ki mis…
STAA wa filamu za Kibongo,Elizabeth Michael'Lulu'ameonyesha kuwa ana mapenzi ya dhati kwa mwanamuziki asiyeisha vituko wa nchini Marekani Justin Beaber,baada ya kupost picha inayomuonyesha kuwa mwanamuziki huyo amebeba picha ya Lulu. Baadhi ya mashabiki walitoa maoni yao huku wengine wakimpa moyo w…
Miss Tanzania 2013 happiness ambae amevalishwa tajihilo na kujinya kulia na kitita cha pesa milioni nane bila kusahahu gari lenye hadhi ya msichana mrembo kama huyo. Huku wakati ushindi wake kufurahiwa na watu wengi pia vituko vimekuwa vikiibuka baada ya shabiki mmoja kuropoka kwanguvu akimshauri…