
model picha kali toka the face


picha ya pili kutoka Ej Fashion & media


picha ya pili kali toka kwa model toka wandaz lab

picha kali toka kaz studio

maridadi model agence

picha kali toka model wa fashion for pashion agence

picha kali toka light studio models agence
Models agence ni nyingi hapa nchini Tanzania na hata kote duniani,kupitia agence hizi nyingi duniani na humu nchini ndio hufanya models kukua zaidi kwenye tasinia hiyo,kwakuwapatia models hao mafunzo,na hata mashavu{kazi}katika nyanza mbali mbali ikiwemo matangazo tofauti,video queens na maonyesho ya mavazi
kwenye events.
Agence kuwa nyingi sio tija ,tija nikuwa na agence zenye kuwafikisha models kwenye malengo yao makubwa ya mafanikio na agences zenyewe kukua na kupata mafanikio ndani ya njee ya nchi,@ hivyo hizo ni picha kali toka models agences zinazofanya poa{makubwa} ZAIDI, zilizopo nchini Tanzania.
Lengo la post hii nikutoa montisha ,ushindani na kufanya models na agences kujulikana zaidi.....
{PROMOTION AND MOTIVATION TO OUR MODELS AND AGENCES}
>>>>Kwa maoni na ushauri shuka hapo chini alfu comment!!