Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 leo wameingia
siku ya pili katika kambi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa
na kinyang’anyiro hicho, na wawapo kambini huwa wanapa semina muda
asubuhi na mapumziko ya mchana jioni huwa wanafanya mazoezi katika
chumba maalumu cha mazoezi ‘Gym’ kwa ajili ya kujitayarisha miili yao
iwe kwenye muonekano mizuri kimashindano.