Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi mkoani Morogoro, Ibrahim Kassim akiwapa maelezo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 juu ya sifa kuu za hifadhi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Kaimu Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro, Apaikunda Mungure akiwagawia vipeperushi vilivyo na taarifa mbalimbali za hifadhi hiyo warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 waliotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.
Warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014 wakiwa Camp ya Mbuyu iliyopo katika Hifadhi ya Taifa Mikumi jana walipotembelea hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini.